Ephesians 5:11-13

11 aMsishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni. 12 bKwa maana ni aibu hata kutaja mambo yale ambayo wasiotii wanayafanya sirini. 13 cLakini kila kitu kilichowekwa nuruni, huonekana,
Copyright information for SwhKC